Taarifa muhimu Uelewa

Ni Tovuti Gani ni Bora Zaidi kwa Kununua na Kusafirisha Mabasi Madogo Toka Nchini Japan?

Last updated:

Ikiwa umekusudia kununua basi dogo toka Japan, tunakushauri utumie tovuti ya CardealPage, Tovuti ambayo huweka orodha ya Zaidi ya mabasi madogo Zaidi ya150.

Unaponunua basi dogo toka Japan (Mfano, TOYOTA COASTER, MITSUBISHI ROSA, NISSAN CIVILIAN, ISUZU JOURNEY, HIRO LIESSE n.k) ni tovuti gani utarejea kwazo?

Tovuti kama vile BeForward, huweka na kuuza magari mengi sana ya abiria lakini hazikupi uchaguzi wa kutosha wa aina tofautitofauti za mabasi madogo.

Tunapenda kukufahamisha na kukupa tovuti chache kwa ajili ya kununulia mabasi madogo.

Ulinganishi wa Idadi ya Mabasi Madogo Yanayoorodheshwa Katika Tovuti Zinazojihusisha na Uuzaji wa Magari Nje ya Japan

 Jina la TovutiIdadi ya Mabasi Madogo
1CardealPage154
2Car from Japan124
3SBT Japan83
4Be Forward61
5Picknbuy24.com17
6Japanese vehicles.com5
?*trade car view262
(Hii ni mpaka kufikia Disemba 1, 2017)
*trade car view. Haina uhakika sana wa idadi ya magari yanayoorodheshwa kwakuwa gari moja linaweza kuwa limepostiwa Zaidi ya mara moja na hivyo ni vigumu kukisia idadi halisi

Namna ya kupunguza matokeo katika utafutaji wa mabasi madogo ni kama ifuatavyo:
- 3500cc mpaka 6000cc, ya kuendesha mkono kulia
- Ondoa magari ya nje ya Japan mf. Korea, Thailand n.k.
- Kutegemeana na tarehe ambapo gari limewekwa katika tovuti unaweza kuyapunguza matokeo ya utafutaji pia.

Kama ambavyo unaona katika orodha hapo juu, kutokana na idadi ya abiria wanaoweza kupakia gari husika, tovuti ya CardealPage ni chaguo sahihi Zaidi ikiwa unatafuta mabasi madogo toka nchini Japan.
Ni kwanini CardelaPage wanaweza Kuweka Orodha Kubwa Zaidi ya Aina Tofautitofauti za Mabasi Madogo?

Kuna tovuti 2 zinazoposti na kuweka orodha ya magari yaliyotumika toka nchini Japan:

1. Tovuti zinazoweka magari yao wenyewe
2. Tovuti zinazoweka magri yaliyotumika toka kwa wauzaji wote wa Japan

Gharama za mauzo ni jumla ya gharama zole tajwa pamoja na faida ya wachukuzi.
Mfano wa tovuti ambazo huweka magari yake zenyewe ni pamoja na SBT Japan, Be Forward, Japanese vehicles.com, pamoja na Picknbuy24.com.

Kwa kawaida, unahitajika mtaji mkubwa sana kuweza kuwa na idadi nzuri ya magari kwa ajili ya kuuza, na hii ni kweli hata katika kuuza mabasi madogo kwakuwa bei ya basi moja tu huwa juu sana.

So with this in mind, very few companies have microbuses in their inventories.

Moreover, because the number of microbuses being distributed is small, compared to passenger vehicles, they are more expensive.

Accordingly, sites such as the ones listed above with their own inventories; tend not to list many microbuses.

Car from Japan, trade car view, pamoja na CardealPage wote kwa pamoja huweka magari yaliyotumika toka kwa wauzaji wa maeneo tofautitofauti ya Japan, hii inamanisha kwamba
kampuni moja haihitaji kuwa na idadi kubwa sana ya mtaji wa mabasi sababu inachukua wauzaji wote nchini Japan
.

Katika hizi tovuti tatu tajwa, Cardealpage sio tu kwamba inaweka magari ili yauzwe nje ya Japan, lakini pia ni kwa ajili ya wazawa wa Kijapan.

Zaidi ya hayo, tovuti ya CardealPage imelenga Zaidi wanunuzi wa nje ya Japan kwa sababu haitumii kiingereza pekee bali hutumia pia Kireno, Kifaransa, na lugha zingine nyingi tu.

Lakini pia, magari yanayowekwa hayaishii tu katika mabasi madogo ya abiria, lakini pia wanayo mabasi makubwa ya cc 6000 na kuendelea n ahata mabai mengine pia kama vile HIACE COMMUTER na CARAVAN BUS ambayo ni mengi pia.

Kama tovuti ya kuuza mabasi, tovuti ya CardealPage pasipo hofu na maswali tunashawishika kusema ndiyo bora Zaidi kwa mpangilio na kuwa idadi kubwa ya mabasi kumuwezesha mteja kuwa na uchaguzi wa kutosha.

Uuzaji (Mauzo) Huwa ni Salama

Tovuti ya CardealPage ina njia au namana ambayo inamuwezesha mnunuzi kulipia gari bila ya kuwa na wasiwasi.

Katika ukurasa wa taarifa za gari, hali ya gari, ana taarifa zingine za msingi kuhusu gari huoneshwa.

Inapotokea kukawa na tatizo, taarifa hizi pia huonekana pasipo kificho suala ambalo hufanya biashara kuwa ya uwazi baina ya mnunuzi na muuzaji.

Tovuti ya CardealPage pia inampa mteja huduma muhimu sana ya kufanya ukaguzi wa gari kwa kutumia mtandao (Cardeal Inspection)

Ikiwa mteja atachagua kutumia hii huduma, Cardeal inspector ambayo ndiyo inakagua gari itafanya shughuli yake kabla ya gari kutumwa kwa mteja. Inashauriwa kutumia huduma hii kwakuwa muuzaji atalazimika kuthibitisha endapo taarifa alizotoa kuhusiana na gari ni sahihi.

Huduma iitwayo City Delivery Service kwa sasa inapatikana kwa nchi za Africa pekee.
Kwa kutumia huduma hii, inawezekana mteja kupelekewa gari alipo na yakafanyika makadirio ya muda wa gari kumfikia kwa usahihi kabisa.

Ikiwa unatamani kununua basi dogo toka nchini Japan, tafadhali tumia tovuti yetu ya Cardeal Page mahala ambapo utaweza kununa gari lako kwa Amani na usalama Zaidi. Tovuti ya CardealPage itakupa uwanja mpana sana wa uchaguzi kuliko tovuti nyingine yoyote ile.

Tafuta Mabasi Madogo Sasa

-Taarifa muhimu, Uelewa

Copyright© CardealPage , 2024 All Rights Reserved.