-
Kununua magari kutoka Japani Kwa mnunuzi kwa mara ya kwanza
Hatua 11 Unazotakiwa Kuzifahamu ili Uweze Kuagiza Gari Zilizotumika Toka Nchini Japan
2018/03/15
Tutakupatia dondoo muhimu na kuzielezea kiundani kuhusu jinsi ambavyo wanunuzi wapya wa magari wanaweza kununua magari yaliyotumika toka Japan kwa usalama kabisa. 1. Wakati wa kuchagua gari unalazimika kuchagua msafirishaji (exporter) pia -Unapochagua gari, ni lazima kuchagua exporter (msafirishaji). -Japokuwa kuna makampuni mengi yanayouza magari yaliyotumika mtandaoni, hapa tumekukusanyia yale ambayo ni maarufu Zaidi katika orodha ifuatayo. CardealPage (https://www.cardealpage.com/) BE FORWARD (https://www.beforward.jp/) SBT (https://www.sbtjapan.com/) tradecarview (https://www.tradecarview.com/) REAL MOTOR JAPAN (http://www.realmotor.jp/) Japanese Vehicles.com (http://www.japanesevehicles.com/) AUTOREC (http://www.autorec.co.jp/) Pick'nBuy24.com (https://www.picknbuy24.com/) Autocom Japan (http://autocj.co.jp/) Enhance Auto (https://www.enhance-auto.jp/) -Japokuwa makampuni maarufu Zaidi yanaashiria uaminifu na usalama, hatuwezi kusema kwa uhakika kabisa yakuwa magari yao yana ...