「Taarifa muhimu」 list

Taarifa muhimu Uelewa

Namna sahihi ya Kununua Basi Dogo Aina ya Mitsubishi Rosa

2018/03/23  

Katika kurasa na tovuti yetu ya CardealPage mara nyingi tuposti na kuuza basi ndogo za MITSUBISHI ROSA. Basi hili moja la Rosa lina matumizi tofauti na bajeti za wanunuzi pia hutofautiana kulingana na uwezo wao na namna ambavyo Rosa inaweza kukidhi mahitaji yao, na kwa kuyazingatia haya tutakujuza namna ambavyo unaweza luchagua Rosa kulingana na mahitaji yako. Rosa ni Maarufu Zaidi Kama Basi Ndogo za Watoto Nchini Japan, Kuna namna tatu za jinsi ambavyo Rosa hutumika: Hutumika kama mabasi ya safari za watoto wa shule Mabasi ya watoto wadogo wa shule za awali Matumizi mengine ya Rosa ni pamoja na ...

Taarifa muhimu Uelewa

Nunua Coaster na Civilian kwa Werevu (Kiakili). Elewa Namna Magari Haya Yanavyotumika Nchini Japan.

2018/03/23  

Inawezekana umepanga kununua basi dogo toka Japan kama vile COASTER, ROSA, au CIVILIAN. Wakati wa kununua, ikiwa utakuwa unaelewa aina hizi za mabasi madogo na jinsi ambavyo hutumika Japan, unaweza kukadiria kwa usahihi hali ya basi husika wakati unalinunua. Katika ukurasa huu, tutakupa vidokezo na dondoo chache za kukusaidia katika kufanya maaui sahihi. Elewa Watengenezaji wa Mabasi Madogo, Modeli Zake na Miundo Modeli kuu na maarufu zaidi za mabasi madogo ni hizi zifuatazo: TOYOTA COASTER MITSUBISHI ROSA (MITSUBISHI FURO) NISSAN CIVILIAN HINO LIESSE (LIESSE2) ISUZU JOURNEY Kimsingi hizi ndizo aina kuu za mabasi madogo yanayouzwa na kutumwa nje ya Japan. ...

Taarifa muhimu Uelewa

Ni Tovuti Gani ni Bora Zaidi kwa Kununua na Kusafirisha Mabasi Madogo Toka Nchini Japan?

2018/03/22  

Ikiwa umekusudia kununua basi dogo toka Japan, tunakushauri utumie tovuti ya CardealPage, Tovuti ambayo huweka orodha ya Zaidi ya mabasi madogo Zaidi ya150. Unaponunua basi dogo toka Japan (Mfano, TOYOTA COASTER, MITSUBISHI ROSA, NISSAN CIVILIAN, ISUZU JOURNEY, HIRO LIESSE n.k) ni tovuti gani utarejea kwazo? Tovuti kama vile BeForward, huweka na kuuza magari mengi sana ya abiria lakini hazikupi uchaguzi wa kutosha wa aina tofautitofauti za mabasi madogo. Tunapenda kukufahamisha na kukupa tovuti chache kwa ajili ya kununulia mabasi madogo. Ulinganishi wa Idadi ya Mabasi Madogo Yanayoorodheshwa Katika Tovuti Zinazojihusisha na Uuzaji wa Magari Nje ya Japan Namna ya kupunguza ...

Taarifa muhimu Uelewa

Vidokezo 10 Muhimu vya Kuzingatia Wakati wa Kununua Lori za Mitsubishi (Mitsubish Canter). Sehemu ya 02

2018/03/22  

Mara ya mwisho, nilielezea Vidokezo muhimu vinne katika kuchagua na kununua canter. Makala iliyopita >> Vidokezo 10 Muhimu Vya Kuzingatia Katika Kununua Lori za Mitsubishi (Mitsubishi Canter) Sehemu ya 01 1. Chagua Muundo wa bodi (sehemu ya mzigo) 2. Chagua idadi ya abiria wanaoweza kupakiaa katika canter 3. Chagua uwezo wa gari katika kubeba mizigo (loading capacity) 4. Chagua aina ya mafuta yatakayotumika katika gari Sasa, tutaelezea vidokezo vingine 6 vya muhimu ikiwa ni pamoja na masuala ya injini. 5. Chagua aina ya injini Tutazungumzia aina za injini ambazo mnunuzi anaweza kuwa na maswali kuzihusu. Injini za canter za Mitsubishi ...

Taarifa muhimu Uelewa

Mambo 10 Muhimu ya Kuzingatia Katika Kununua Lori za Mitsubishi (Mitsubish Canter). Sehemu ya 01

2018/03/22  

Katika tovuti ya CardealPage, Tunaweka picha nyingi sana za na . Bei ni kitu cha msingi sana, lakini pia ni muhimu kuelewa uwezo na sifa za gari husika ili kufanya maamuzi sahihi na kununua gari linaloendana na mahitaji yako. Nitaelezea mambo 10 ya kuzingatia wakati wa kununua canter. 1. Kuchagua muundo wa sehemu ya abiria na dereva kwa matumizi tofautitofauti Nchini Japan, malori yana matumizi tofautitofauti kama yalivyoainishwa hapa chini. Malori yakubeba uchafu (takataka), mchanga, vifusi vya udongo, n.k. Malori yenye bodi maalum za kubeba mizigo ya kawaida. Malori maalum (power gates) kwa ajili ya kubeba mizigo mizito. Lori zenye ...

Copyright© CardealPage , 2024 All Rights Reserved.